Top Christian Songs Neema Gospel Choir – Neema Ya Mungu

Neema Gospel Choir – Neema Ya Mungu

Neema Gospel Choir Neema Ya Mungu 1

Download Neema Ya Mungu Mp3 byย Neema Gospel Choirย 

The Kenyan Music team,ย Christian Singers, members of Africa Inland Church (AICT) whose songs have always been a blessing โ€œNeema Gospel Choirโ€ comes through with a song titledย โ€œNeema Ya Munguโ€.

Get Audio Mp3, Stream, Share, and be blessed.

DOWNLOAD HERE

Lyrics: Neema Ya Mungu byย Neema Gospel Choir

Neema ya Mungu
Neema ya Mungu imetuokoaa
Neema ya Mungu
Neema ya ya Mungu ni ushindi wetu

Haleluya aah haleluya
Neema ya Mungu imetuokoa

Haleluya aah haleluya
Tumemshinda shetani

Tunashukuru
ujio wake Yesu
Twafurahia
ukombozi
oooh wetu

lsingekuwa Yesu tusinge hesabiwa haki mbele zake
pasipo nguvu ya ukombozi tungepotelea
shimoni mwa dhambi
zetu (mwa dhambi)

Yesu ni nguvu ni ngome ni mwamba
Yesu ni nguvu ni ngome ni mwamba wa wokovu wetu

Si kwa nguvu bali ni neema kukombolewa twafurahi
Ni yeye anajua kuhesabu siku zetu huyasikia maombi yetu
Yesu ni nguvu ni ngome ni mwamba Yesu ni nguvu ni ngome ni mwamba wa wokovu wetu

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here