Gospel Global Neema Gospel Choir – Yesu Nakupenda

Neema Gospel Choir – Yesu Nakupenda

Download Yesu Nakupenda Mp3 by

The TANZANIAN Music team,ย Christian Singers, members of Africa Inland Church (AICT) whose songs have always been a blessing โ€œNeema Gospel Choirโ€ comes through with a song titledย โ€œYesu Nakupendaโ€.

Get Audio Mp3, stream, share, and be blessed.

DOWNLOAD HERE

Download More NEEMA GOSPEL CHOIR Songs Here

Lyrics: Yesu Nakupenda by

Yesu nakupenda ,U Mali yangu
Anasa za dhambi, sitaki kwangu
Na Mwokozi aliyeniokoa
Sasa nakupenda

Sasa nakupenda
Sasa nakupenda
Sasa nakupenda Kuzidi pia

(Moyo umejaa), mapenzi tele
(Kwa vile ulivyonipenda), mbele
(Uhai wako), ukanitolea sasa nakupenda

Sasa nakupenda
Sasa nakupenda
Sasa nakupenda Kuzidi pia

Ulipoangikwa msalabani
Tusamehewe dhambi zetu
Na taji ya miiba uliyoivaa

Kwa damu yako umefuta makosa
Sasa nakupenda

Sasa nakupenda
Sasa nakupenda
Sasa nakupenda, Kuzidi pia

Kuzidi pia
Kuzidi pia

ENGLISH LYRICS:

My Jesus, I love you, I know you are mine
for all follies of sin I resign
My gracious Redeemer and Savior
I love you

I love you
I love you
I love you more

My heart is in love
Because you first loved me
You sacrificed your life for me, I love you

I love you
I love you
I love you more

When you were crucified
To pardon our sins
A crown of thorns on you

Your blood cleansed our transgressions
I love you

I love you
I love you
I love you more

More and more
More and more

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here