Universal Gospel Obby Alpha – Washangaze

Obby Alpha – Washangaze

Washangaze Mp3 Download Audio by

The renowned and brilliant gospel artist , comes through with a song called “Washangaze“, and was released in 2022. This amazing and inspiring track is a must listen for any music lover. With its message and captivating melody, “Washangaze” is an addition to any playlist. Whether you want to download the mp3 watch the video or sing along with the lyrics, “Washangaze” is undeniably a song that will deeply touch the hearts of everyone who encounters it.

Artist Name:
Mp3 Song Title:Washangaze
Year of release:2022

Get the MP3 audio for free, download, stream, and share this amazing song with your friends and family. When you share it, you're spreading the goodness and joy of the song. #CeeNaija

DOWNLOAD HERE

Download More Obby Alpha Songs Here

Washangaze Lyrics by Obby Alpha

Washangaze Bwana washangaze
Washangaze Bwana washangaze
Weka tabasamu usoni kwangu
Ili wajue wewe unaweza
Weka tabasamu usoni kwangu
Ili wajue wewe unaweza

Nina imani nawe Mungu wangu
Nina imani nawe Bwana wangu
Kama kulia mbona nimelia sana, Nimetoshekaa aah
Kama kuchekwa mbona nimechekwa sana ,Nimetosheka bwana wangu eeh
Ni wewe pekee wa kunifutia aibu
Wapi nipeleke yangu majaribu
Na naona soni kuyasimulia
Kwa watu usoni ninayoyapitia
Na
Najua unaweza kufanya ya ajabu ,Zaidi ya yaliyoandikwa kwenye vitabu

Washangaze Bwana washangaze
Washangaze Bwana washangaze
Weka tabasamu usoni kwangu
Ili wajue wewe unaweza
Weka tabasamu usoni kwangu
Ili wajue wewe unaweza

Natambaa Bwana natambaa nahitaji msaada wako natamani tembea
Natembea bwana natembea nahitaji msaada wako natamani kimbia
Pengine Imani yangu ndogo nikashindwa vumilia
Nisije ulaumu moyo yakija nizidiaa
Nifundishe kushukuru baba
Hata kwa kidogo kile ulichonipa.
Na tena nitambue uzima huu ni nema,
Sijagharamia bure Bwana umenipa.

Naona baridi Baba nivike
Nikiwa mkaidi unifundishe
Ninajitahidi mi nikushike
Kwamaana siwezi nikiwa peke
Ni wewe pekee wa kunifutia aibu
Wapi nipeleke yangu majaribu
Na naona soni kuyasimulia
Kwa watu usoni ninayoyapitia
Na
Najua unaweza kufanya ya ajabu ,Zaidi ya yaliyoandikwa kwenye vitabu
hivo naomba bwana

Washangaze Bwana washangaze
Washangaze Bwana washangaze
Weka tabasamu usoni kwangu
Ili wajue wewe unaweza
Weka tabasamu usoni kwangu
Ili wajue wewe unaweza

Comment below with your feedback and thoughts on this post.