Universal Gospel One to Another (OTA) – Ukuu Wako

One to Another (OTA) – Ukuu Wako

Ukuu Wako Mp3 Download Audio by

A Christian band that writes and produces congregational songs for the African churches in the urban contemporary contexts, , comes through with a song called “Ukuu Wako“, and was released in 2024. This amazing and inspiring track is a must listen for any music lover. With its message and captivating melody, “Ukuu Wako” is an addition to any playlist. Whether you want to download the mp3 watch the video or sing along with the lyrics, “Ukuu Wako” is undeniably a song that will deeply touch the hearts of everyone who encounters it.

Get the MP3 audio, download, stream, and share this amazing song with your friends and family. When you share it, you’re spreading the goodness and joy of the song. #CeeNaija

DOWNLOAD HERE

Ukuu Wako Lyrics by

Verse 1
Ndimi zinakiri, anga yatangaza
Siku zinanena, ujumbe wako ehh Bwana
Mbingu zahubiri, utukufu wako Mungu
Sote tunaona, kazi yako ehh Bwana

Pre-Chorus
Asubuhi mpaka jioni, jana leo hata milele
Vizazi juu ya vizazi, havitakoma ku-utangaza

Chorus
Ukuu wako, nguvu zako
Wema wako, asubuhi hadi jioni
Ukuu wako, nguvu zako
Wema wako, leo jana na hata milele

Verse 2.
Uwezo wako ni dhahiri, wewe ni Mungu wa milele
Hakuna akupingaye, we Jemedari ehh Bwana
Usemi wako ni sahihi, hekima yako ni zaidi
Hauna mshauri, haufananishwi ehh Bwana

Bridge
Kama si wewe, mengine ni sanamu ni sanamu
Ulimwenguni kote wewe ndiwe Mungu pekee

Comment below with your feedback and thoughts on this post.