Universal Gospel Pambio Worship – Nimesamehewa

Pambio Worship – Nimesamehewa

Download Nimesamehewa Mp3 by Ft. Tim Ngie

The vibrant Kenyan praise & worship group, , comes through with a song called “Nimesamehewa” featuring the talented Tim Ngie, and was released in 2024. This amazing and inspiring track is a must listen for any music lover. With its message and captivating melody, “Nimesamehewa” is an addition to any playlist. Whether you want to download the mp3 watch the video or sing along with the lyrics, “Nimesamehewa” is undeniably a song that will deeply touch the hearts of everyone who encounters it.

Get the MP3 audio, download, stream, and share this amazing song with your friends and family. When you share it, you’re spreading the goodness and joy of the song. #CeeNaija

DOWNLOAD HERE

Download More PAMBIO WORSHIP Songs Here

Lyrics: Nimesamehewa by

VERSE 1
Hallelujah niko huru
(Hallelujah, I am free)
Kupitia kwake yesu
(Through Jesus)
Deni yangu amelipa
(He has paid my debt)
Pia laana ameondoa
(He has also removed the curse)
Hallelujah
Ameondoa.
(Hallelujah he has removed it)

Hallelujah niko huru
(Hallelujah, I am free)
Kupitia kwake yesu
(Through Jesus)
Deni yangu amelipa
(He has paid my debt)
Pia laana ameondoa
(He has also removed the curse)
Hallelujah
Ameondoa.
(Hallelujah he has removed it)

CHORUS
Nimesamehewa
(I am forgiven)
Nimesamehewa
(I am forgiven)
Nimesamehewa
(I am forgiven)
Kwa kweli nimependwa
(Truly I am Loved)

Nimesamehewa
(I am forgiven)
Nimesamehewa
(I am forgiven)
Nimekombolewa
(I am redeemed)
Wokovu nimepewa
(I have received salvation)

Nimesamehewa
(I am forgiven)
Nimesamehewa
(I am forgiven)
Nimesamehewa
(I am forgiven)
Kwa kweli nimependwa
(Truly I am Loved)

Nimesamehewa
(I am forgiven)
Nimesamehewa
(I am forgiven)
Nimekombolewa
(I am redeemed)
Kwa damu na neema
(By the blood and grace)

Ya yesu oh!
(Of Jesus oh!)
Ya yesu eh!
(Of Jesus eh!)
Ya yesu oh!
(Of Jesus oh!)
Ya yesu eh!
(Of Jesus eh!)

VERSE 2
Hallelujah na kusifu
(Hallelujah I praise you)
Ewe mungu mwaminifu
(Oh God who is faithful)
Uhai wako ulitoa
(Your life you gave)
Uhai wangu nikapata
(So I could receive mine)
Hallelujah
Nikaupata

(Hallelujah I received it)

CHORUS
Nimesamehewa
(I am forgiven)
Nimesamehewa
(I am forgiven)
Nimesamehewa
(I am forgiven)
Kwa kweli nimependwa
(Truly I am Loved)

Nimesamehewa
(I am forgiven)
Nimesamehewa
(I am forgiven)
Nimekombolewa
(I am redeemed)
Wokovu nimepewa
(I have received salvation)

Nimesamehewa
(I am forgiven)
Nimesamehewa
(I am forgiven)
Nimesamehewa
(I am forgiven)
Kwa kweli nimependwa
(Truly I am Loved)

Nimesamehewa
(I am forgiven)
Nimesamehewa
(I am forgiven)
Nimekombolewa
(I am redeemed)
Kwa damu na neema
(By the blood and grace)

Ya yesu oh!
(Of Jesus oh!)
Ya yesu eh!
(Of Jesus eh!)
Ya yesu oh!
(Of Jesus oh!)
Ya yesu eh!
(Of Jesus eh!)

BRIDGE
Niko chini ya mwamba
(I am under the rock)
Na mwamba juu yangu
(and the rock is higher than me)
Yesu nifiche
(Jesus hide me)
Niko chini ya mwamba
(I am under the rock)

Niko chini ya mwamba
(I am under the rock)
Na mwamba juu yangu
(and the rock is higher than me)
Yesu nifiche
(Jesus hide me)
Niko chini ya mwamba
(I am under the rock)

Niko chini ya mwamba
(I am under the rock)
Na mwamba juu yangu
(and the rock is higher than me)
Yesu nifiche
(Jesus hide me)
Niko chini ya mwamba
(I am under the rock)

Niko chini ya mwamba
(I am under the rock)
Na mwamba juu yangu
(and the rock is higher than me)
Yesu nifiche
(Jesus hide me)
Niko chini ya mwamba
(I am under the rock)

CHORUS
Nimesamehewa
(I am forgiven)
Nimesamehewa
(I am forgiven)
Nimesamehewa
(I am forgiven)
Kwa kweli nimependwa
(Truly I am Loved)

Nimesamehewa
(I am forgiven)
Nimesamehewa
(I am forgiven)
Nimekombolewa
(I am redeemed)
Kwa damu na neema
(By the blood and grace)

Ya yesu oh!
(Of Jesus oh!)
Ya yesu eh!
(Of Jesus eh!)
Ya yesu oh!
(Of Jesus oh!)
Ya yesu eh!
(Of Jesus eh!)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here