Gospel Global PaPi Clever & Dorcas – Roho Yangu Inaimba

PaPi Clever & Dorcas – Roho Yangu Inaimba

Download Roho Yangu Inaimba Mp3 by Ft. Merci Pianist

A soul-lifting song performed by the African Christian/Gospel worshippers and ministers ““, as this one is titled “Roho Yangu Inaimba” featuring Merci Pianist. This song is sure to bless your heart and uplift your spirit.

Download Audio Mp3, Stream, Share, and be blessed

DOWNLOAD HERE

DOWNLOAD MORE PAPI CLEVER & DORCAS SONGS HERE

Lyrics: Roho Yangu Inaimba by

1
Nimefika kwake Yesu, Na rohoni mwangu sasa,
jua lake la neema linang’aa kila siku.

Chorus
Roho yangu inaimba, nimefunguliwa kweli.
Nimekaribia Yesu, ninaimba kwa furaha.

2
Pepo za neema yake zinavuma ndani yangu,
na mawimbi ya wokovu yananijaliza sasa.

3
Sasa Bwana Yesu Kristo amefanya kao kwangu.
Nimepewa mfariji, Roho ya ahadi yake.

4
«Siku roho afikapo mtajua kwa hakika
kwamba ninakaa kwenu», hivyo Yesu alisema.

5
Kweli, amefika kwetu, sasa yumo ndani yetu.
Ujitoe kwake Mungu, aioshe roho yako!

6
Yesu atakapokuja katita utakatifu,
nitafananishwa naye, nitamshukuru sana.

Chorus 2

Zitakuwa nyimbo nyingi tuta’poingia mbingu,
na milele tutaimba na kusifu Mungu wetu.

1 COMMENT

Comment below with your feedback and thoughts on this post.