Universal Gospel Pitson – Niache Niimbe

Pitson – Niache Niimbe

Download Niache Niimbe Mp3 by

Here’s an amazing song and music lyrics from the soulful and prolific gospel singer, ““. It’s a song titled “Niache Niimbe“, and was released in 2025. This beautiful song, accompanied by a stunning music video, audio, and lyrics, is sure to captivate listeners of all ages. Don’t miss out on this beautiful musical experience.

Get MP3 audio, Download, Stream, and Share this powerful song with your friends and family, and let the blessings overflow! By sharing it with your loved ones, you’re spreading the goodness and joy that this song brings. #CeeNaija

DOWNLOAD HERE

Download More PITSON Songs Here

Lyrics: Niache Niimbe by

Siku moja mama nitakujengea ,
Nyumba ya kifahari uishi poa mama, na pesa za mziki
Siku moja baba nitakununulia,
gari la kifahari uendeshepoa baba, na pesa za mziki
Siku moja dada nitakulipia,
karo ya shule, uende university, na pesa za mziki
Siku moja brother nitakufungulia
biashara kubwa, uwe sonko brother, na pesa za mziki

Ikiwa ntakua rubani , niendeshe ndege, niwe rubani , rubani anaimba
na Ikiwa ntakua karani, karani wa benki, niwe karani, karani anaimba
Ikiwa ntakua waziri, waziri wa serikali , niwe waziri, waziri anaimba
Oh popote niendapo, chochote nifanyacho, yeyote nitakuwa, niwe naimba.

Mama na baba naomba mniache niimbe
Niache niimbe, Niache niimbe, Niache niimbe
Shule nitaenda lakini mniache niimbe
Niache niimbe, Niache niimbe, Niache niimbe
kazi nitafanya lakini mniache niimbe
Niache niimbe, Niache niimbe, Niache niimbe
Mimi naahidi ntaimba nyimbo za injili
Niache niimbe, Niache niimbe, Niache niimbe

Mungu ni mwaminifu, Mungu ni mwaminifu
Mungu ni mwaminifu, Mungu ni mwaminifu
Hakuna anayeweza sema hajapewa kitu cha kufanya,
Mungu ni mwaminifu, Mungu ni mwaminifu

Wengine wanauza nguo gikosh
Wengine wanashona ah,
Wengine wamekonda wanakimbia, mabouncer wameshona.
Wengine maodijo, polisi, ma CEO, ma M.D,
ma H.U.S.T.L.E.R maustler

Ikiwa ntakua rubani , niendeshe ndege, niwe rubani , rubani anaimba
na Ikiwa ntakua karani, karani wa benki, niwe karani, karani anaimba
Ikiwa ntakua waziri, waziri wa serikali , niwe waziri, waziri anaimba
Oh popote niendapo, chochote nifanyacho, yeyote nitakuwa, niwe naimba.

Mama na baba naomba mniache niimbe
Niache niimbe, Niache niimbe, Niache niimbe
Shule nitaenda lakini mniache niimbe
Niache niimbe, Niache niimbe, Niache niimbe
kazi nitafanya lakini mniache niimbe
Niache niimbe, Niache niimbe, Niache niimbe
Mimi naahidi ntaimba nyimbo za injili
Niache niimbe, Niache niimbe, Niache niimbe

Sitakuangusha mama, Sitakuangusha baba
Uniache niimbe, Uniache niimbe

Uniache niteremke mama , teremke mama, teremke mama, eh
Uniache niimbe, Uniache niimbe

Oh Sitakuangusha mama, Sitakuangusha baba
Uniache niimbe, Uniache niimbe

Uniache niteremke , teremke ,nikicheza mziki ya baba yangu
Uniache niimbe, Unieche

Comment below with your feedback and thoughts on this post.