Download Shambulia Mp3 by Revival Youth Choir
Lyrics: Shambulia by Revival Youth Choir
- Upewe sifa bwana, we muumba mbingu na inchi
(Praise be to the Lord, creator of the heavens and the earth)
Hakuna kama wewe pekee yako wastahili
(No one is like you, you alone deserve it)
Pokea sifa bwana, pokea sifa bwana
(Receive our praise Lord, receive our Praise Lord - Ulitulinda sote wakati wa shida
(You protected us all in times of trouble)
Vijana wengi wenye sifa zao wametoweka
(Many young people with their qualities have disappeared)
Ye ye Yesu, pokea sifa, Ye ye Yesu, pokea sifa
(Je je Jesus, receive praise. Je je Jesus, receive praise).
Nzambe nanga nzambe nanga
Elonga na Yesu
Shukurani kwa Bwana
Maana kulala na kuamka ni mapenzi yake
Siri yake ameficha Mungu
Unalala unaamka ni kwa neema yake tu
Wengi walipatwa na ajali wa kakufa
Lakini Revival Youth Choir bado leo tunasimama tunamsifu Mungu
Revival Oye
Kila mwenye pumzi leo asimame na amsifu Mungu
Kila mwenye pumzi
Amsifu Mungu uuh
Inuwa
Inuwa bendera la ushindi
Shambulia wo wo wo
Kazi za yule muovu shetani
Mwaka mpya, nguvu mpya,
Revival Twasonga Mbele
Mwaka mpya, nguvu mpya
Shambulia
Shambulia
Kifua mbele, kama wanejeshi songa mbele,
Kushoto kulia, Revival Twasonga Mbele