NITAINGIA LANGO LAKE Mp3 Download Audio by SAMUEL E
The renowned and brilliant gospel artist SAMUEL E, comes through with a song called “NITAINGIA LANGO LAKE“, and was released in 2024. This amazing and inspiring track is a must listen for any music lover. With its message and captivating melody, “NITAINGIA LANGO LAKE” is an addition to any playlist. Whether you want to download the mp3 watch the video or sing along with the lyrics, “NITAINGIA LANGO LAKE” is undeniably a song that will deeply touch the hearts of everyone who encounters it.
Artist Name: | SAMUEL E |
Mp3 Song Title: | NITAINGIA LANGO LAKE |
Year of release: | 2024 |
Get the MP3 audio for free, download, stream, and share this amazing song with your friends and family. When you share it, you’re spreading the goodness and joy of the song. #CeeNaija
NITAINGIA LANGO LAKE Lyrics by SAMUEL E
- Wakati nitajikuta, mbinguni kwa Baba
Nitajua ya ulimwengu nimeshayaacha
Haleluya nitasifu, kufika mbinguni | -2
Coras 1- Hosana! nitaingia kwa shangwe
Coras: Nitaingia lango lake na sifa moyoni
Nitaingia kwa shangwe kuu
Nitasema ni siku njema bwana ameifanya
Nitafurahi kufika mbinguni | -2
- Nchi nzuri nchi safi, kwa Baba yangu
Kuna amani kuna furaha, huko ni kusifu
Tutakaa na Mungu wetu, nchi ya amani | -2
Coras 2A- Hosana! nitaingia kwa shangwe
Coras: Nitaingia lango lake na sifa moyoni
Nitaingia kwa shangwe kuu
Nitasema ni siku njema bwana ameifanya
Nitafurahi kufika mbinguni
- Nitawaona watakatifu, manabii wote
Hata mitume nchi hiyo, nitawaona
Tutakula meza moja, nchi ya amani | -2
Coras 3A- Hosana! nitaingia kwa shangwe
Coras: Nitaingia lango lake na sifa moyoni
Nitaingia kwa shangwe kuu
Nitasema ni siku njema bwana ameifanya
Nitafurahi kufika mbinguni | -2