<
Universal Gospel Sifaeli Mwabuka – Mshukuru Mungu Tu

Sifaeli Mwabuka – Mshukuru Mungu Tu

Download Mshukuru Mungu Tu Mp3 by

Here’s an amazing song and music lyrics from the talented gospel Musician from Tanzania, ““. It’s a song titled “Mshukuru Mungu Tu“, and was released in 2025. This beautiful song, accompanied by a stunning music video, audio, and lyrics, is sure to captivate listeners of all ages. Don’t miss out on this beautiful musical experience.

Get MP3 audio, Download, Stream, and Share this powerful song with your friends and family, and let the blessings overflow! By sharing it with your loved ones, you’re spreading the goodness and joy that this song brings. #CeeNaija

DOWNLOAD HERE

Download More SIFAELI MWABUKA Songs Here

Lyrics: Mshukuru Mungu Tu by

 asante baba
Asante Mungu Wangu
hivi nilivyo
Mahali nimefika
Asante baba
Ni huruma yako baba
Mimi ninani
Asante baba
Vile baba umeniumba
Mwanadamu asingeweza
Asante baba
Najivunia ulivyoniumba
Kazi ya mikono yako
Asante baba
Hivi nilivyoooo
Hivi nilivyo
Hivi nilivyoooo yesu

Verse2:
Mahali nimefika acha Mimi nimshukuru Mungu nasema asante asante baba

Kwa umbali Huu nilionao acha Mimi nimshukuru Mungu nasema asante asante baba

Kule baba alikonitoa mwanadamu asingeweza nasema asante asante baba

Vile Vita alivyonishindia mwadamu asingeweza nasema asante asante baba ร—2

Mavumbini alikonitoa mwanadamu asingeweza nasema asante asante baba

Hata uzima Huu nilionao mwenzenu kwangu Ni muujiza nasema asante asante baba ร—2

Chorus

ASANTE ASANTE ASANTEE MUNGU WANGUร—8

asante baba
Asante Mungu Wangu
hivi nilivyo
Mahali nimefika
Asante baba
Ni huruma yako baba
Mimi ninani
Asante baba
Vile baba umeniumba
Mwanadamu asingeweza
Asante baba
Najivunia ulivyoniumba
Kazi ya mikono yako
Asante baba
Hivi nilivyoooo
Hivi nilivyo
Hivi nilivyoooo yesu

Comment below with your feedback and thoughts on this post.