Universal Gospel The Clarion Call Ministry – Mikononi

The Clarion Call Ministry – Mikononi

Download Mikononi Mp3 by

The renowned gospel music ministry, presents to us a compelling song, as this masterpiece is titled “Mikononi“. This track, released in 2025 , is a captivating and inspirational addition to any music enthusiast’s collection. The tune “Mikononi” carries a powerful message and a mesmerising melody, making it a must-listen for all. Feel free to stream the mp3, watch the video, and sing along to the heartfelt lyrics.

Get the MP3 audio, download, stream, and share this amazing song with your friends and family. When you share it, you’re spreading the goodness and joy of the song. #CeeNaija

DOWNLOAD HERE

Download More THE CLARION CALL MINISTRY Songs Here

Lyrics: Mikononi by

Verse 1:
Ile mikono iliyochomwa misumari
Sasa inataka kumponya aloichoma
Si ya kimwili pekee bali na magoniwa Ya kiroho yaloshindikana
Hata mfu afufuliwa
Oohhh

Chorus:
Kuna nguvu katika mikono ya Yesu Katika hiyo hakuna lisilowezekana
Amgusaye hupona yote kimwili na kiroho
‘Kimfuata kwa imani, atakugusa na akuumbe
upya.

Verse 2:
Wakati ule nilipopoteza matuamaini
Mikono iliniinua
‘Kilemewa na dunia,
Tafuta kuguswa nayo mikono
Iponyayooo
Hautasumbuka tena

Chorus:
Kuna nguvu katika mikono ya Yesu Katika hiyo hakuna lisilowezekana
Amgusaye hupona yote kimwili na kiroho
‘Kimfuata kwa imani, atakugusa na akuumbe
upya.

Bridge:
Iliponya vipofu
Ikaponya wakoma
Ilifufua wafu
Ikalisha maelfu
Mtini iliwambwa
Na dhoruba kali inaituliza

Chorus:
Kuna nguvu katika mikono ya Yesu Katika hiyo hakuna lisilowezekana
Amgusaye hupona yote kimwili na kiroho
‘Kimfuata kwa imani, atakugusa na akuumbe
upya.
Akuumbe upya(x3)………………..

Comment below with your feedback and thoughts on this post.