Download Amini Mp3 by The Saints Ministers
Download More THE SAINTS MINISTERS Songs Here
You May Also Like: ๐๐ฝ
Lyrics: Amini by The Saints Ministers
Stanza 1
Sijui sababu ya neema niliyopewa na Mungu wetu, sikulistahili pendo lake, wala wokovu wa Yesu Kristo.*2
Chorus
Amini *3 Yesu
Amini *3 Maombi yako yatajibiwa
Stanza 2
Sujui jinsi nilivyopewa, imani ya kumwamini Kristo, Neno lake Yesu lilileta amani yake moyoni mwangu.*2
Stanza 3
Sijui jinsi roho wa Mungu awaonyeshavyo watu wake wapate kuzitambua dhambi na kumfuata Yesu Mkombozi. *2
Stanza 4
Sijui kama mambo yajayo, yatakuwa ya salama kwangu, lakini ninamwamini Yesu mpaka tutaonana naye. *2
Stanza 5
Sijui siku gani ya Bwana, hapa atakaporudi kwetu, Nitamngojea kwa Imani, Hata kumlaki hewani Mwisho.*2
You May Also Like: ๐๐ฝ