Gospel Global The Saints Ministers – Mungu Ni Nani?

The Saints Ministers – Mungu Ni Nani?

Download Mungu Ni Nani? Mp3 by

The renowned Global Christianย music team of praisers and worshippers whose songs have blessed lives โ€œโ€ perform a song of praise worship which is titled โ€œMungu Ni Nani?โ€œ. This song is sure to bless your heart and uplift your spirit.

Get Audio Mp3, stream, share, and be blessed.

DOWNLOAD HERE

DOWNLOAD MORE THE SAINTS MINISTERS SONGS HERE

Lyrics: Mungu Ni Nani? by

Intro

Macho yako Mungu huona duniani kote Hatua zetu salama nawe,
Hauchoki nasi Mungu, tujapotanga mbali nawe,
Watufuata kwa upole tugeukapo upo pale.

Chorus
Jamani tunaanguka, tunavunjika lakini Mungu ni nani Atusimamisha tena,
Tumepona, tuna nguvu, tuwashindi Mungu atukuzwe.

  1. Huwa nakosa maneno sijui nishukuruje, Mungu uwe kwangu Imani inadidimia,
    Machozi yamefumba macho ila nakutumaini, chochote kitakachokuja umenifunzaโ€ฆ.
    Japo ninaanguka, ninavunjika lakini Mungu ni nani Anisimamisha tena, Nimepona, Nina nguvu, Ni mshindi Mungu atukuzwe.
  2. Wakati siwezi simama tena, ninapohitaji nguvu mpya ninakutafuta kote ulipo masahibu yanisongapo.
    Asema tuanguke kwenye mwamba, atushike kwa mkono wa kuume, Tuwe wateule wako Bwana ujapotusimamisha.

Comment below with your feedback and thoughts on this post.