Universal Gospel The Saints Ministers – Twasema Asante

The Saints Ministers – Twasema Asante

Download Twasema Asante Mp3 by

Here’s an amazing song and music lyrics from the prestigious group of young talented musicians based in Nairobi, Kenya, ““. It’s a song titled “Twasema Asante“, and was released in 2024. This beautiful song, accompanied by a stunning music video, audio, and lyrics, is sure to captivate listeners of all ages. Don’t miss out on this beautiful musical experience.

Get MP3 audio, Download, Stream, and Share this powerful song with your friends and family, and let the blessings overflow! By sharing it with your loved ones, you’re spreading the goodness and joy that this song brings. #CeeNaija

DOWNLOAD HERE

Download More THE SAINTS MINISTERS Songs Here

Lyrics: Twasema Asante by

  1. Jambo kubwa hakika ilikuwa kama ndoto inayomjia mja anapolala usiku, Kazaliwa tulisherehekealo leo. Huduma hii kwa kweli Mungu amejitukuza, Amekuwa mwaminifu kila hatua kila siku Mungu. Ndipo twajiwasilisha mbele zake kwa sifa kuu Jehovaโ€ฆ.
  2. Haijawahi kuwa rahisi safari hii ila Mungu ajuaye alikotutoa ajua anakotupeleka. Tumezama ndani ya uongozo wake tena hatutoki kamwe. Haijalishi tutakatwa tufungwe minyororo twaamini hatatuacha
  3. Tumebariki wengi kwa namna mbalimbali , kwa nyimbo tunazo shuhuda wengi wameokoka kanda zetu zilizo hewani zinaongoa mioyoโ€ฆโ€ฆโ€ฆ..Neno litatoweka ikiwa himizo tosha wanadamu wawe ange . Mifupa yaishi tena Matumaini makubwa kwetu. Kilammoja na aseme Zangu ni Shukurani sababu ya Mifulizo ya Baraka . Mungu Yu Nasi huyu Mungu ni Nani Aliyetufikisha hapa yu tayari kutupigisha hatua nyingine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here