Gospel Global Walter Chilambo – Bolingo Nayo Habakuki Faraja

Walter Chilambo – Bolingo Nayo Habakuki Faraja

Download Bolingo Nayo Habakuki Faraja Mp3 by

The African Christian music minister drops a powerful song alongside its visuals, as this song is titled “Bolingo Nayo Habakuki Faraja“. You’ll see praising God on this song with joy.

Get AUdio Mp3, Stream, Share & stay graced

DOWNLOAD HERE

DOWNLOAD MORE WALTER CHILAMBO SONGS HERE

Lyrics: Bolingo Nayo Habakuki Faraja by

VERSE 1 (Walter Chilambo)
Natamani kukwambia neno zuri
Lakini nakosa namna ya kufikisha ujumbe
Sili silali natamani kusema na we
Usiku na mchana natamani tusemezane
Kwa yale Mema,Mazuri,fadhili ulizo nitendea Yahweh
Kwa ule upendo na mkono wako wanishika daima yoo yooh
Maana wapo waliopoteza uhai
lakini ukanichagua yooh
Wapo waliokosa chakula
lakini ukanilisha aaah

BRIDGE
Osale linga ba bien
( Osale linga be bien )

Yonde moninga malamu
( Yonde moninga malamu )

We ndo furaha ya moyo wangu o uuuh
Yonde esengo ya motema
( yonde esengo ya motema )

CHORUS
Kama si wewe
Ningekuwa wapi
Kama si wewe
Ningeitwa nani

BOLINGO NAYO (Bolingo nayo)
BOLINGO NAYO YAYA (Bolingo nayo)

BOLINGO NAYO (Bolamu nayo Yahweh)
BOLINGO NAYO YAYA (Bolingo nayo)

BOLINGO NAYO (Bolingo nayo)
BOLINGO NAYO YAYA (Bolingo nayo)
HARMONY :
โ—Bolingo nayo, โ€ฆ. bolamu nayo
(Upendo wako)โ€ฆ (wema wa wako)

VERSE 2

BENIT :
โ—Motema nanga ezo yemba ba bienfaits nayo
(moyo wangu unaimba Mazuri yako)
โ—Motema nanga ezo yemba misala malamu nayo
(Moyo wangu unaimba Matendo yako mazuri)
โ—Na memeli yo masanjoli, masanjoli ya motema nanga
(Nime kuletea Sifa, Sifa za moyo wangu)
โ—Osaleli nga ba bien
(Ume nitendea mema)
โ—Yo nde moninga malamu
(Wewe ndie rafiki mzuri)
โ—Yo nde esengo ya motema
(Wewe ndio furaha ya moyo)
โ—Nayemba yo ndenge nini Yesu
(Nikuimbiye namna gani Yesu)
โ—Nani mosusu aza lokola yo mwata wani
(Nani mwingine kama wewe Mungu wangu)
โ—Nani mosusu aza lokola yo Mukalenga wanyi
(Nani mwingine kama wewe Mfalme wangu)
โ—Oooooooooh, nalingiyo Yesu
(Ooooooooh nakupenda Yesu)
.
CHORUS

HABAKUKI :
โ—Bolingo nayo Ponanga, Namona yango Bisika teee, Nzambe nanga oza malamu Mingi, Bolingo nayo eleki ya mama na papa aaa , Oza malamu koleka nyosoโ€ฆ Bolingo nayo oooh
(Upendo wako Kwangu, Sijawahi uona popote pale, Mungu wangu wewe ni mzuri sana, upendo wako unazidi wa mama na baba, aaa wewe mzuri kupita yote ee Upendo wakooo ooo)

โ—Eee naza Mbum’abolingo N’o
(Eee, mimi ni tunda la Upendo wako)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here