Gospel Global Walter Chilambo – Neema Yako

Walter Chilambo – Neema Yako

Download Neema Yako Mp3 by

The African Christian music minister drops a powerful song alongside its visuals, as this song is titled “Neema Yako“. You’ll see praising God on this song with joy.

Get AUdio Mp3, Stream, Share & stay graced

DOWNLOAD HERE

DOWNLOAD MORE WALTER CHILAMBO SONGS HERE

Lyrics: Neema Yako by

Umenitoa mbali
Kusiko julikana
Kwa Neema yako
Isiyosemekana
Umenitoa kule kusikojulikana
Kwa upendo wako
Usiosemekana

Ni Muujiza
Mi kufika hapa
Ni Muujiza
Mi kuwa hai
Ni Muujiza
Kupendwa na wewe Yesu
Ni Muujiza
Kusimama tena

Si kwamba mimi nimetenda wema
saaaana
Si kwamba mimi ni mtakatifu
sanaaaa
Si kwamba mimi ni mnyenyekevu
sanaaaa
Si kwamba mimi nko sawa sawa sawa
sanaaa
Ilaaaaaa

Ni Neema yako Bwana
(Neema yako Bwana )
Ni Neema yako Bwana
(Neema yako Baba )
Ni Neema yako Bwana
(Aiyelelele leleleee)
Neema yako Bwana

Neema yako Bwana

Duniani nimekutana na mengii
Taabu na misukosuko
Kuishiwa na kuchoka

Duniani nimepambana na vingii
Kutengwa na kukataliwa
Mimi eeh

Ninaona ajabu
Hukuniacha nilivyo
Oh
Ajabu
Hukunipungukia Yesu

Si kwamba mimi nimetenda wema sanaaa
Si kwamba mimi ni mtakatifu sanaaaa
Si kwamba mimi ni mnyenyekevu sanaaa
Si kwamba mimi nko sawa sawa sawa
Sanaaa
Ila

Ni Neema yako Bwana
(Neema yako Bwana)
Ni Neema yako Bwana
(Neema yako Baba)
Ni Neema yako Bwana

(Aiyelelele leleleee)
Neema yako Bwana
Neema yako

Neema yako
Ni Neema yako Bwana
Neema yako
Ni Muujiza
(Ni Neema yako Bwana)
Ni Muujiza
Ni Neema yako Bwana
Ni muujiza
Yesu unaniwazia mema
(Ni Neema yako Bwana)
Mazuri unanitendea
Ni Muujiza
Ni Neema yako Bwana
Ni Muujiza

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here