Gospel Global Walter Chilambo – Nitakase

Walter Chilambo – Nitakase

Download Nitakase Mp3 by

The African Christian music minister drops a powerful song alongside its visuals, as this song is titled “Nitakase“. You’ll see praising God on this song with joy.

Get AUdio Mp3, Stream, Share & stay graced

DOWNLOAD HERE

DOWNLOAD MORE WALTER CHILAMBO SONGS HERE

Lyrics: Nitakase by

Kuna wakati tunapitia mambo magumu
Nakujiona kwamba tunayaweza wenyewe
Kuna wakati yakitulemea twalaumu
Nakukufuru Mungu kumbe ni sisi wenyewe

Kuna wakati akili na mawazo yetu Tunakusahau wewe tunavipa kipaumbele
Sikwamba huoni haya tunayofanya si sawa
Unatutazama kwa huruma

Vipi nikushukuru kwa nรคmna gani nikufae
Nami ukanifanye nuru ya ulimwengu na ikang’ae
Kwa maana umesema heri mtu yule Asiyekwenda katika shauri la wasio haki
Bali sheria yako bwana

Unitengeneze niumbie moyo safi
Unitakase nikupendeze wewe
Unitengeneze uniumbie moyo safi
Unitakase nikupendeze wewe
Bali sheria yako bwana

Najua me nikiumbe dhaifu tu basi
Basi angalau na mimi nikupendeze wewe
Nilingane na wewe hata kwa machache tu
Niwakumbushe na wengine ili wajue upo
Maana kumeharibika

Tunaangamia kwa kukosa maarifa
Hakuna upendo ule umetufundisha
Wanadamu tumebadilika tumekuwa wabaya
Tumesahau kwamba upo
Tumesahau wewe upo
Yani kama hatuoni vile

Vipi nikushukuru kwa nรคmna gani nikufae
Nami ukanifanye nuru ya ulimwengu na ikang’ae
Kwa maana umesema heri mtu yule
Asiyekwenda katika shauri la wasio haki
Bali sheria yako bwana

Unitengeneze uniumbie moyo safi
Unitakase nikupendeze wewe
Bali sheria yako bwana
Unitengeneze uniumbie moyo safi
Unitakase nikupendeze wewe
Bali sheria yako bwana

Vipi nikushukuru kwa nรคmna gani nikufae
Nami ukanifanye nuru ya ulimwengu na ikang’ae
Kwa maana umesema heri mtu yule Asiyekwenda katika shaur la wasio haki
Bali sheria yako bwana
ikang’ae

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here