Gospel Global Walter Chilambo – Shwari

Walter Chilambo – Shwari

Download Shwari Mp3 by

The African Christian music minister drops a powerful song alongside its visuals, as this song is titled “Shwari“. You’ll see praising God on this song with joy.

Get AUdio Mp3, Stream, Share & stay graced

DOWNLOAD HERE

DOWNLOAD MORE WALTER CHILAMBO SONGS HERE

Lyrics: Shwari by

INTRO
Aaahh aaahh aahaa ahh

VERSE 1
Maisha anayepanga Mungu
Ndiye anayejua Kesho yangu
Yawe matamu au machungu
Nikipata nikikosa nashukuru Mungu
.
BRIDGE
Ndio maana bado sijachoka mi kuhangaika
Ndoto zangu zikazimika
Nazidi kuomba Mungu ashushe Baraka
Na Neema yake kunifunika
Leo yangu isiwe kama Jana
Naamini mambo yatabadilika EEEH
unitazame Bwana
Kesho yangu Ikajae furahaa
Aaahh
Kesho yangu ikajae Furaha
.
CHORUS
Mambooo โ€ฆ SHWARI
Yatakuwa shwariโ€ฆ..SHWARI
Ooh Mamboโ€ฆ.SHWARI
Mungu anayaweka Shwariโ€ฆ..SHWARI
Sina mashaka tena โ€ฆ..SHWARI
Najua mambo yatakuwa shwariโ€ฆ..SHWARI
Shwari kabisa yaani shwariโ€ฆโ€ฆ.SHWARI
Siku yaja mambo yatakuwaโ€ฆ.SHWARI
Mambo yatanyooka aahhh
.
.
VERSE 2
Nimezaliwa kupambana
Na sitokata tamaa
Haijalishi ni mangapi nimepitia
Yakaniumiza eeehh
Najua vita si ndogo vita si ndogo
Ila kwa Mungu hiyo vita ni ndogo
Bado kidogo Muda kidogo
Mungu ataniheshimisha
Bado kidogo
.
BRIDGE
Ndio maana bado sijachoka mi kuhangaika
Ndoto zangu zikazimika
Nazidi kuomba Mungu ashushe Baraka
Na Neema yake kunifunika
Leo yangu isiwe kama Jana
Naamini mambo yatabadilika EEEH
unitazame Bwana
Kesho yangu Ikajae furahaa
Aaahh
Kesho yangu ikajae Furaha
.
CHORUS
Mambooo โ€ฆ SHWARI
Yatakuwa shwariโ€ฆ..SHWARI
Ooh Mamboโ€ฆ.SHWARI
Mungu anayaweka Shwariโ€ฆ..SHWARI
Sina mashaka tena โ€ฆ..SHWARI
Najua mambo yatakuwa shwariโ€ฆ..SHWARI
Shwari kabisa yaani shwariโ€ฆโ€ฆ.SHWARI
Siku yaja mambo yatakuwaโ€ฆ.SHWARI
Mambo yatanyooka aahhh ร—2
.
.
Aah ahah aaah aahhh aahhh

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here