Gospel Global Walter Chilambo – Ushuhuda

Walter Chilambo – Ushuhuda

Download Ushuhuda Mp3 by

The African Christian music minister drops a powerful song alongside its visuals, as this song is titled “Ushuhuda“. You’ll see praising God on this song with joy.

Get AUdio Mp3, Stream, Share & stay graced

DOWNLOAD HERE

DOWNLOAD MORE WALTER CHILAMBO SONGS HERE

Lyrics: Ushuhuda by

Nimezaliwa kwa kusudi nipo kwa kusudi
Hivi nilivyo kwa kusudi nipo kwa kusudi
Hata nina yopitia ni kusudi yapo kwa kusudi
Majaribu yasoishaa ooh yote yapo kwa kusudi
iwe huzuni ama faraja oooh iwe kilio ama furaha ooh
Iwe kupata au kupoteza aah nimepitia ili kutimiza kusudi lake

Na mimi ni ushuhuda [ushuhuda eeh]
Mimi ni ushuhuda [mimi ni ushuhuda]
Ooh mimi ni ushuhuda [ooh mimi ni ushuhuda]
Mimi ni ushuhuda [aaiyayaa yaya yaiyaah]
Ooh mimi ni ushuhuda eeh

Leo amenipa ujasiri nasimama tena. Amenipa nguvu
nimeinuka Tena amenipa kutabasamu ninacheka tena
Amenipa amani ni furaha zaidi
Mimi ni ushuhuda [nikutie moyo]
Mimi ni ushuhuda [usikate tamaa]
Sito yumbishwa na jambo lolote tena
Sito babaika na kitu chochote

iwe huzuni ama faraja oooh iwe kilio ama furaha ooh
Iwe kupata au kupoteza aah nimepitia ili kutimiza kusudi lake

Na mimi ni ushuhuda [ushuhuda eeh]
Mimi ni ushuhuda [mimi ni ushuhuda]
Ooh mimi ni ushuhuda [ooh mimi ni ushuhuda]
Mimi ni ushuhuda [aaiyayaa yaya yaiyaah]
Ooh mimi ni ushuhuda eeh si tena wa zamani ayayayah
Mimi ni ushuhuda [amesha nitoa kule baba]
Ooh mimi ni ushuhuda [mimi ni ushuhuda]
Mimi ni ushuhuda mimi ni ushuhuda
Ooh mimi ni ushuhuda eeh

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here