Download Usichelewe Mp3 by Walter Chilambo
The Tanzanian Gospel singer, songwriter and producer Walter Chilambo presents to us a compelling song, as this masterpiece is titled “Usichelewe“. This track, released in 2025 , is a captivating and inspirational addition to any music enthusiast’s collection. The tune “Usichelewe” carries a powerful message and a mesmerising melody, making it a must-listen for all. Feel free to stream the mp3, watch the video, and sing along to the heartfelt lyrics.
Get the MP3 audio, download, stream, and share this amazing song with your friends and family. When you share it, you’re spreading the goodness and joy of the song. #CeeNaija
Download More WALTER CHILAMBO Songs Here
Lyrics: Usichelewe by Walter Chilambo
Mungu wangu,
naomba niongee na wewe
Hata kidogo
Nasikia uchungu ndani ya Moyo
Mambo yamekuwa mazito
Na siwezi peke yangu
Naona maumivu ndani ya moyo
Na umesema walipo wawili wewe upo
Najiuliza nikiwa peke yangu je we upo?
Ni kweli na imani
Lakini kuna muda nachoka
Na si kwamba sikuamini
Nakuamini sanaa
HOOK
Nimeomba,nimefunga na nimetoa sadaka
Ila mambo yanayumba,fanya hima uje haraka
Bridge
Basi uniambie mi (Ni wapi nakosea)
Baba uniambie mi (Niwapi nakosea)
Yesu uniambie eehh (Niwapi nakosea)
Baba uniambie Mi niwapi nakosea nakuomba
CHORUS
USICHELEWEโฆ( nachoka, nachoka )
USICHELEWEโฆ( Tazama Moyo umechoka )
USICHELEWEโฆ( Nitangoja, ntangoja )
USICHELEWEโฆ( Mi mwanao bado ntangoja )
VERSE 2
Wenzangu wana MARAFIKI
Wa kuwaambia shida zao
Na mimi we ndio wangu RAFIKI
Ninakuambia haja zangu
Siulisemaโฆ
Utanibariki mjini na mashambani
Siulisemaโฆ
Niingiapo na nitokapo nitabarikiwa
Siulisemaโฆ
Fedha na dhahabu vyote ni mali yako
Siulisemaโฆ
Nikiomba utanipa zaidi ya niombavyo
HOOK
Nimeomba,nimefunga na nimetoa sadaka
Ila mambo yanayumba,fanya hima uje haraka
Bridge
Basi uniambie mi (Ni wapi nakosea)
Baba uniambie mi (Niwapi nakosea)
Yesu uniambie eehh (Niwapi nakosea)
Baba uniambie Mi niwapi nakosea nakuomba
CHORUS
USICHELEWEโฆ( nachoka,nachoka )
USICHELEWEโฆ( Tazama Moyo umechoka )
USICHELEWEโฆ( Nitangoja ,ntangoja )
USICHELEWEโฆ( Mi mwanao bado ntangoja )