Download Kwa Vile Mp3 by Willy Paul
Here’s a song by the African prolificย music artisteย and talented singer โWilly Paulโ. Thisย songย is titled โKwa Vileโ, as it was released alongside its video. You’ll surely enjoy this one.
Download Audio Mp3, Stream, Share, and stay graced
DOWNLOAD MORE WILLY PAUL SONGS HERE
Lyrics: Kwa Vile by Willy Paul
Kwa vile umenitunza Papa
Kwa vile umenipenda, kwa vile umenitunza
Kwa vile umenipenda
Nakamilisha zangu ndoto, nitacheza kidogo
Ibilisi analeta mdomo, namwonyesha kisogo
Ananena Willy no, anena Willy yes oh
Ananena Willy no, anena Willy yes oh
Lord, Lord, Lord, Lord, Lord, you’re always
On my mind
Always on my mind
Nitacheza kidogo, nitaruka ruka kidogo
Nitacheza kidogo, niserebuka kidogo, Ah
Kwa vile umenipenda Mola
Kwa vile umenitunza Papa
Kwa vile umenipenda, kwa vile umenitunza
Kwa vile umenipenda
Cheza sari sari, cheza furi furi
Cheza tuvi, tuvi, msela cheza ni kiduku
Cheza ni kiduku, cheza ni kiduku
Cheza ni kiduku, kwa Jalali ni kiduku
Serebuka, serebuka, serebuka, serebuka
Serebuka
Serebuk, serebuka, serebuka, serebuka
Serebuka, Ah, Ah, Ah
Serebuka, serebuka, sere, Serebuka
Kwa vile umenipenda Mola
Kwa vile umenitunza Papa
Kwa vile umenipenda, kwa vile umenitunza
Kwa vile umenipenda
Wapo umeonja upendo wake ruka kidogo
Wapo umeonja upako wake ruka kidogo
(Pause… leggo)
Wamama dombolo ah eh, watoto dombolo, ah
Eh
Kwa Yesu dombolo ah eh, Tucheze Ndombolo ah
Eh
Wamama dombolo ah eh, kwa Yesu dombolo
Ah eh
Kwa vile umenipenda Mola
Kwa vile umenitunza Papa
Kwa vile umenipenda, kwa vile umenitunza
Kwa vile umenipenda