Download Lenga Mp3 by Willy Paul & Size 8
Here’s a song by the African prolificย music artisteย and talented singer โWilly Paulโ. Thisย songย is titled โLengaโ performed with Size 8, as it was released alongside its video. You’ll surely enjoy this one.
Download Audio Mp3, Stream, Share, and stay graced
DOWNLOAD MORE WILLY PAUL SONGS HERE
Lyrics: Lenga by Willy Paul
Ayayayaya (Saldido)
Brabadandandan
Ayayayaya (Teddy B)
Ooh mbona wewe size 8
Nikipiga simu kwani we unanilenga
Unapea simu Sammy aniambie sio sahii
We injili ulilenga pepo ulipenda
Na vile Yesu ametenda
We ukamlenga Willy
Si unajua sahii nyimbo zangu za sahii zimehit
Usijifanye hujaskia nabii
Hata madem wameninoki times three
Sisikizangi ma secular, rudi kwa baba anakuita
Sisikizangi za dunia, rudi kwa baba anakuita
Kuna haja gani nikae ndani
Wakati kila mtu hanitaki ndani?
Ni nani huyo hataki ukae ndani?
Ni nani huyo ebu sema Willy
Si ni nani na yule nani alafu nani akambia nani
Maneno maneno we achia Mungu
Mapenzi ya Mungu ndio muhimu
Ooh mbona wewe size 8
Nikipiga simu kwani we unanilenga
Unapea simu Sammy aniambie sio sahii
We injili ulilenga pepo ulipenda
Na vile Yesu ametenda
We ukamlenga Willy
Ooh mbona wewe size 8
Nikipiga simu kwani we unanilenga
Unapea simu Sammy aniambie sio sahii
We injili ulilenga (sikulenga)pepo ulipenda(Sikupenda)
Na vile Yesu ametenda(ooh I know)
We ukamlenga Willy
Nilikukanya usipende wawili
Unawatoto na wawili
Usijali naombagaga, ni magoti napiga ga
Kwa siri kadada naombagaga
Oooh naombagaga
Usidanganywe na mauno
Ni kazi napiga huko
Hypocrites wamejificha huko
Kwa mateke wakwende huko
Shetani alikudanganya (No)
Ukajichanganya (No)
Kwa Yesu kunalipanga
Ukicheza moto utajipanga
Hii injili sijalenga
Na pepo sijapenda
Ni Yesu ninalipa (Nalipa)
Ooh mbona wewe size 8
Nikipiga simu kwani we unanilenga
Unapea simu Sammy aniambie sio sahii
We injili ulilenga(sikulenga) pepo ulipenda(sikupenda)
Na vile Yesu ametenda(ooh I know)
We ukamlenga Willy
Ooh mbona wewe size 8
Nikipiga simu kwani we unailenga
Unapea simu Sammy aniambie sio sahii
We injili ulilenga pepo ulipenda
Na vile Yesu ametenda
We ukamlenga Willy