Download Tamu Walahi Mp3 by Willy Paul
Here’s a song by the African prolificย music artisteย and talented singer โWilly Paulโ. Thisย songย is titled โTamu Walahiโ, as it was released alongside its video. You’ll surely enjoy this one.
Download Audio Mp3, Stream, Share, and stay graced
DOWNLOAD MORE WILLY PAUL SONGS HERE
Lyrics: Tamu Walahi by Willy Paul
Eeh, eeh, eeh, eeh, eeh!
Eeh, eeh, eeh, eeh, eeh!
Eeh, eeh, eeh, eeh, eeh!
Katoto hodari, akikata hodari
Kiuno hodari, akipanda hodari
Full shangwe anajiachia
Ulivo fundi nyumbani
Kwa bedi my lady tamu walahi
Tamu walahi mama tamu walahi
Tamu walahi mama tamu walahi
Muondoka wako tamu walahi
Ukiniguza tamu walahi na tukicheza
Tamu walahi tamu walahi tamu walahi
Eti baby anapenda, anapenda njaro za kipole pole
Yaani mwendo wa kobe, kobe kobe kobe
Kasheri kanapendaga tu mayai na tu soseji
Alafu mwendo wa kobe kobe kobe kobe
Anafanya, namwaga jasho sho sho
Natokwa na pepo popo shoti kama ya
Ronaldo dodo iiih
Ngozi ilivo nyooka, malaika my darling, lala
Unavonipa kwa bedi my darling
Naskia tu pepe, eti pepe
Naskia tu pepe
Ulivo fundi nyumbani
Kwa bedi my lady tamu walahi
Tamu walahi mama tamu walahi
Tamu walahi mama tamu walahi
Muondoka wako tamu walahi
Ukiniguza tamu walahi na tukicheza
Tamu walahi tamu walahi tamu walahi
Mtoto anataka tucheze tu baibuda
Maimuna hataki pressure, ooh my lover
Ooh baby ukiniguza wanitia haya
Na unavokata chumbani mama unani maliza
Aaih mama, mama, wanimada mama
Wanimaliza mama, mmmh mama
Wanaokudharau, wana roho mbaya
Itabidi wafunge virago warudi waliko toka
Shindwe pepo mbaya!
Unavonipa kwa bedi my darling
Naskia tu pepe, eti pepe
Naskia tu pepe
Ulivo fundi nyumbani
Kwa bedi my lady tamu walahi
Tamu walahi mama tamu walahi
Tamu walahi mama tamu walahi
Muondoka wako tamu walahi
Ukiniguza tamu walahi na tukicheza
Tamu walahi tamu walahi tamu walahi
Muondoka wako tamu walahi
Ukiniguza tamu walahi na tukicheza
Tamu walahi tamu walahi tamu walahi