Download Toto Mp3 by Willy Paul
Here’s a song by the African prolificย music artisteย and talented singer โWilly Paulโ. Thisย songย is titled โTotoโ, as it was released alongside its video. You’ll surely enjoy this one.
Download Audio Mp3, Stream, Share, and stay graced
DOWNLOAD MORE WILLY PAUL SONGS HERE
Lyrics: Toto by Willy Paul
Haa Ha(Pozze)- Haa
Michezo yako kinasty nasty
Biggy biggy heavy heavy
Mama mimi napendaga
Uuaaahhoo
Ulivyoshona konongo nongo
Ukidunga sketi alafu uname chini
Unanimaliza mmh
Ukifunga dera unanimaliza
Michezo ya chumbani, oi nakufa
Unanimaliza ooh mama
Wewe ni, my sugar sukari
Ulivyozidi utamu, nikuite asali
To-to-to mama
To-to Toto mama
To-to-to mama
To-to Toto mama
Hey hey toto toto
Unanimada toto ooh, hey toto
Oh toto toto-oh to
Hey hey toto toto
Unanimada toto oh, hey toto
Una siri gani hapo kwa mauno
Mtoto wa Salome anamwaga mpaka bone marrow
Hey baby
Au labda unatumia annointing oil vibaya
Coz unavyorombosa kwa paja rombosa
Sijawai ona
Toto uko heavy nibebe bebe
Nizame topeni nigware gware
Si mi ndiye fundi wa kuchelewesha
Bwana slow motion
Na wazee wa boma
Walishasema ni we mama lao
Basi mi ndio baba lao
(Oooh yaga yaaah)
Na wazee wa boma
Walishasema ni we mama lao
Heeyy!!
Basi mi ndio baba lao (Baby)
To-to-to mama
To-to toto mama
To-to-to mama
To-to toto mama
Hey hey toto toto
Unanimada toto ooh, hey toto
Oh toto toto-oh to
Hey hey toto toto
Unanimada toto ooh, hey toto
Hey hey toto toto
Unanimada toto ooh, hey toto
Oh toto toto-oh to
Hey hey toto toto
Unanimada toto ooh, hey toto